Ile Jumapili uliyoizoea ya kukaa kinyonge hatimaye imeondolewa kwenye kalenda, HAIPO TENA! Wakali wa muda wote wa kutengeneza na kusambaza pombe kali na bia nchini
Month: September 2024
Na Mwandishi Wetu, Arusha Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema unahitajika ufadhili unaozingatia jinsia, endelevu na wenye uwiano katika kupunguza na kukabiliana na mabadiliko
Katika kipindi cha muda wa saa 24 zilizopita, mashambulizi ya Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya Wapalestina wasiopungua 48 kufuatia mapigano na kundi la Hamas
Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema ni muhimu kuwa na usawa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, huku akieleza Tanzania imeendelea
Mkuu wa kanda ya Nyanda za Juu kusini wa Vodacom Tanzania Bw. Abednego Mhagama (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa
Akiwahutubia wanafunzi katika hafla iliyooneshwa kupitia televisheni katika jimbo la Siberia nchini Urusi, Putin alisema kuwa jaribio la Ukraine la kusitisha kusonga mbele kwa vikosi
WAZIRI wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati
Beijing imesema kongamano la wiki hii kati ya China na Afrika litakuwa tukio kubwa zaidi la kidiplomasia tangu janga la Covid-19, huku zaidi ya viongozi
Nyasa. Baadhi ya wavuvi wa samaki na dagaa katika Ziwa Nyasa wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa, ikiwemo Virusi vya
China imeongeza mahusiano yake na mataifa ya Afrika katika kipindi cha muongo mmoja uliiopita, ikiyamwagia mabilioni ya fedha kupitia mikopo ambayo imeyasaidia mataifa hayo kujenga