Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba mechi kati ya Azam
Month: September 2024
Mbeya. Watu 12 wamefariki dunia na wengine 23 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Septemba 27 wilayani Mbeya mkoani hapa. Ajali hiyo imetokea eneo
MTEJA wa Meridianbet kama kawaida wikendi ndo hiyo inanukia ambapo Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako sasa.
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mashindano ya gofu ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘NMB CDF Trophy’ yanatarajiwa kufanyika Oktoba 4-6,2024, huku mchezaji atakayefanikiwa kupiga
Japan imepata waziri mkuu mpya leo baada ya chama tawala cha Liberal Democratic, LDP, kumchagua waziri wa zamani wa ulinzi Shigeru Ishiba kuwa kiongozi wake
Arusha. Kitendawili cha kupatikana kwa mwanafunzi, Joel Johannes aliyepotea akiwa na wanafunzi wenzake waliopanda Mlima Kwaraa mkoani Manyara kwa ajili ya ziara ya mafunzo, bado
Chuo Cha Uhasibu Arusha kwa kushirikiana na kampuni ya Rethinking Tourism Africa wamefanya kongamano la maadhimisho ya siku ya utalii duniani leo September 27,2024 kwa
KIPA wa Simba, Moussa Camara amezungumzia ubora wa ukuta wa timu hiyo unaongozwa na Fondoh Che Malone na Abdulrazack Mohamed Hamza kama sehemu ya kufanya
Moshi. Ofisa Kilimo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Ermina Marandu (40), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatia kwa kumjeruhi msaidizi wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishukuru mara baada ya kusomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru,