Dar es Salaam. Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (Tarura) umetaja vipaumbele vinne katika utendaji wao, ikiwemo kutumia teknolojia zinazohusisha kutumia malighafi zinazopatikana eneo la
Month: September 2024
KIUNGO Mtanzania anayekipiga Chippa United ya Afrika Kusini, Baraka Majogoro amesema anatamani msimu huu kufanya vizuri na kuisadia timu hiyo kuchukua ubingwa baada ya kuukosa
Iringa. Kilio cha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu Mkwawa (MUCE) cha kupanga mitaani kimeanza kufutwa, baada ya mkataba wa ujenzi wa majengo manne ikiwamo
SIKU chache baada ya kutua na kutambulishwa na klabu ya Wakiso Giants inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda, beki kinda za zamani wa timu ya vijana
Dar es Salaam. Jalada la kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya soka ya Simba,
BAADA ya kurejea nchini, beki Lameck Lawi amesema hatma ya yeye kuitumikia Coastal Union ipo chini ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya
Moshi. Polisi wameshindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, baada ya ndugu kudai hawana taarifa
Maofisa habari wa timu za Yanga, Simba na Azam FC wamewaita mashabiki wajitokeze kwa wingi katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika
WAKATI wadau mashabiki wa soka wakisubiri tukio la Mbeya City Day, uongozi wa timu hiyo umesema maandalizi yanaenda vyema na wamejipanga kuwapa raha wakazi wote
Dodoma. Kigezo cha umri usiozidi miaka 25 kwenye tangazo la ajira la Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (Tawa), limeombewa jambo la dharura bungeni na wabunge