Na Mwandishi Wetu ,Manyara. Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited imeshiriki na kudhamini Matembezi maalumu ya kuhamasisha Wananchi kujiandikisha
Month: September 2024
Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo
BENKI Ya KCB imechangia Shilingi milioni 30 katika sherehe ya shukrani ya Marian Schools, iliyojumuisha mbio za miguu, matembezi, na misa ya shukrani. Mkurugenzi wa
BAADA ya kusepa Simba, mshambuliaji Freddy Kouablan amerejea nchini kimya kimya, lakini akashtua kujifua na mastaa wa Yanga. Freddy ambaye alitua Simba dirisha dogo msimu
Momba. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Godfrey Mzava leo Septemba Mosi, 2024, amezindua vyumba viwili vya madarasa vilivyojengwa katika Shule ya Msingi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefungukia fursa iliyopata timu anayoichezea kwa sasa kukutana na Bravos do
KIUNGO Mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Zabona Hamis amesema dakika 180 bila timu kupata bao ni huzuni kwao, akieleza kuwa kurejea kwa pacha wake Samson Mbangula
The WFPMkurugenzi Mtendaji Cindy McCain alisema Huduma ya anga ya Umoja wa Mataifa ya kibinadamu (UNHAS), ambayo inasimamiwa na shirika la chakula la Umoja wa
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya