WIKI chache tangu aiachane na aliyekuwa kocha mkuu, David Ouma, klabu ya Coastal Union ya Tanga inadaiwa imemshusha kimyakimya kocha mpya kutoka Burundi, Domonique Niyonzima
Month: September 2024
Mbeya. Halmashauri ya Jiji la Mbeya imesema itachukua hatua kali kwa mzazi au mlezi yeyote atakayeharibu ndoto za mtoto wake katika elimu kwa kumtumia kama
Dodoma. Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa Mwaka 2024 unawasilishwa kesho Jumatatu Septemba 2, 2024 bungeni. Muswada
Dar es Salaam. Wadau wa elimu wameitaka Serikali kuanza kutenga fedha itakayotolewa kwa shule zote nchini kama ruzuku ili kufanikisha azma yake ya wanafunzi wa
Arusha. Ni furaha kwa wakulima wa parachichi nchini, baada ya Wizara ya Kilimo kupitia Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), kufanikiwa kufungua
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa taarifa Septemba 1, 2024 kuwa Katibu Mkuu wake, Dkt. Emmanuel Nchimbi hakukimbia wala kudharau mdahalo uliopangwa kuwahusisha Makatibu Wakuu
Unguja. Wakati Zanzibar ikitafuta nyanja mbalimbali za kuhamasisha na kutangaza utalii wake, linatarajiwa kufanyika kongamano kubwa la kimataifa linalohusiana na utalii wa maadili na mikutano.
BEKI wa kati wa ASA Tel Aviv inayoshiriki Ligi ya Israel, Mtanzania Noela Luhala amepoteza mchezo wa kwanza akiwa na klabu mpya akitumika kwa dakika
Arusha. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imewaachia huru watu watatu akiwemo aliyekuwa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Said Makumbusya