Katika hotuba yake kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Kenya William Ruto amesema kufikia Januari mwaka ujao, nchi yake itatuma maafisa zaidi wa
Month: September 2024
Morogoro 📍 Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) imefunguliwa rasmi kuzikutanisha timu zinazowajumuisha watumishi wa serikali kutoka kwenye
DaBaby amezindua jukwaa la afya ya akili ambapo inasemekana kuwa ni kwa heshima ya marehemu kaka yake Glenn Johnson, ambaye alikufa kwa kujiua mnamo 2020.
Na Kassim Nyaki, NCAA. Kamishna wa Uhifadhi wa mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye tarehe 26 Septemba, 2024 amefanya kikao
Mamlaka ya Ukraine imethibitisha mashambulizi hayo ya ndege zisizo na rubani za Urusi kwenye mji huo wa bandari wa Izmail nchini Ukraine kwenye mto Danube ambao
Msimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro Septemba 26,2024 ametoa maelekezo kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa
MWANAFUNZI Hija Hamis Msumi (16), anayesoma kidato cha tatu na mkazi wa Nyanjati, Rufiji, amehukumiwa kuchapwa viboko 12 na kulipa Sh. 500,000 kama fidia,
Jeshi la Sudan lilianzisha operesheni mapema Alhamisi, kwa lengo la kuchukua udhibiti wa baadhi ya maeneo ya mji huo mkuu wa Sudan, ambayo yamekuwa mikononi
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Suma Fyandomo, amesema mashindano ya ngoma asili yanayoendelea jijini Mbeya yameibua ari na nguvu kwa vikundi na wasanii
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC jana Alhamisi iliipamba mechi kati ya Azam FC na Simba SC