Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Kitaifa cha Uhuru cha Meksiko kinaendesha maandamano ya njama ya kilimo ili kusoma athari za mchanganyiko wa nishati ya jua
Month: September 2024
Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Regina Bieda, amewasihi wadau wa uchaguzi kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amekanusha wagonjwa kusafirishwa kwa pikipiki wakiwa wamewekwa kwenye
Mwenge wa uhuru mwaka 2024 unaendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo leo umefika Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo.
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imesema inafanya usanifu wa kina na usimamizi wa Ujenzi wa Viwanja vya ndege, Madaraja na Barabara kulingana viwango vinavyohitajika .
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko amezitaka taasisi mbalimbali kuacha vikwazo kwa wafanyabiashara badala yake ziwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Tunduru waliojitokeza
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na
LIGI ya Kikapu Mkoa wa Shinyanga imefikia patamu wakati Risasi na Kahama Sixers zikitarajiwa kuchuana katika fainali ya ligi hiyo itakayopigwa Oktoba 6, mwaka huu.
Meneja wa Kiwanda cha East Africa Conveyor Supplies Limited (EACS) Mhandisi John Kubini (kulia) akionesha vipuli vilivyotengenezwa katika kiwanda cha EACS kilichopo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Na Kadama Malunde