Geita. Wafanyabiashara wa madini katika Soko Kuu la Dhahabu Geita wamefunga maduka wakipinga uamuzi wa kutenga angalau asilimia 20 ya dhahabu inayozalishwa na kuiuzia Benki
Month: September 2024
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Organazesheni CCM Zanzibar Omar Ibrahim Kilupi amewasihi viongozi wa dini mbalimbali nchini kukemea tabia za
Mwenge wa Uhuru umehitimisha mbio zake Mkoani Kagera na kukabidhiwa Mkoani Geita tayari kwa ajili ya kukimbizwa Mkoani humo. Kwa Mkoa wa Kagera umemalizia katika
Na Mwandishi wetu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 30, 2024, amezindua Kitabu kuhusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri
Unguja. Meli ya kwanza ya makontena imetia nanga katika Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba na kupokewa na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi Licha ya
WASHTAKIWA waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kumbaka na kumuingilia kinyume na maumbile binti wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam wamehukumiwa kifungo cha maisha jela.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameiambia Iran ambayo ndio mfadhili mkuu wa makundi yanayopambana na Israel ya Hamas na Hezbollah kwamba hakuna eneo lolote
Dodoma. Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa
Na Emmanuel Massaka Michuzi TV MWENYEKITI wa UVCCM Kata ya Mabwepande Andrew Mashimba amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndani ya Chama hakuna