RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kitabu cha Hayati Edward Sokoine: Maisha na Uongozi Wake, kinatoa taswira ya safari ya taifa la Tanzania, huku
Month: September 2024
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amewasili jijini Maputo nchini Msumbiji jana Jumapili, Septemba 29, 2024 kuongoza Misheni ya Uangalizi wa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Septemba 29, 2024 alifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi, kando ya Mkutano wa
Mbeya. “Historia inaenda kufutika”. Hiyo ni kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbaraka Batenga, akielezea kuvunjwa kwa msikiti mkongwe uliopo mji mdogo wa Mbalizi
Muonekano mpana wa Ukumbi wa Mkutano Mkuu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Siku zijazo. Credit: UN Photo na Dawn Clancy (umoja wa mataifa) Jumatatu,
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inaendesha warsha ya mafunzo ya siku tano kwa watumishi wa Ofisi ya Taifa
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amehimiza maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi katika Jeshi la Magereza nchini, ili kuliongezea uwezo
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa amewaomba viongozi wa dini kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha na kujitokeza kugombea na kupiga kura
SERIKALI imeanza kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa zao la Korosho kwa msimu wa mauzo mwaka huu unaoanza hivi karibuni ili kumlinda
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv Mwenyekiti wa Washiriki wa mafunzo ya kozi ya ‘Sustainable and Inclusive Women Leadership and Management’ (SIWOLEMA) Training Program yaliyofanyila kuanzia