WAZIRI CHANA AKAGUA CHANZO CHA MAJI SHAMBA LA MITI MBIZI

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo Oktoba 2, 2024 ametembelea Shamba la Miti Mbizi, ambalo liko chini ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa lengo ikiwa ni kukagua uendelevu wa chanzo cha maji cha Mbizi na kuona mchango wa Shamba kwa jamii inayolizunguka.

Mhe. Chana aliongozana na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally Chirukile pamoja na Wahifadhi kutoka Shamba la Miti Mbizi.

 

Related Posts