MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI LESOTHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho Mhe.Neo Matjato Moteane wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maseru nchini Lesotho leo tarehe 04 Oktoba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Lesotho na Miaka 200 ya kuanzishwa kwa Ufalme wa Lesotho zitakazofanyika katika Uwanja wa Setsoto Mjini Maseru.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. James Bwana wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maseru nchini Lesotho leo tarehe 04 Oktoba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Lesotho na Miaka 200 ya kuanzishwa kwa Ufalme wa Lesotho zitakazofanyika katika Uwanja wa Setsoto Mjini Maseru.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maseru nchini Lesotho leo tarehe 04 Oktoba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Lesotho na Miaka 200 ya kuanzishwa kwa Ufalme wa Lesotho zitakazofanyika katika Uwanja wa Setsoto Mjini Maseru.

Related Posts