Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Oktoba 5,2024 amewasili mkoani Kigoma na kufanya kikao kazi na kuwa na majadiliano ya ndani na
Day: October 5, 2024
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa.Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania iliyotolewa hivi karibuni imebainisha hakuna ukiukaji wa haki
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa kupokea taarifa ya utendaji wa migodi ya Barrick uliojumuisha wadau mbalimbali.
NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Jimbo la Kusini mwa Tanzania, Dkt. Godwin Lekundayo, amewataka wahitimu wa mafunzo ya sanaa
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye, amewahimiza wahitimu wa chuo hicho kutokaa wanasubiri ajira za serikalini pekee, bali pia
Chuo cha VETA ya Makete kimeshuhudia ongezeko kubwa la udahili wa wanafunzi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, kutokana na kampeni maalum ya kuhamasisha wadau
WANANCHI wa vijiji pembezoni mwa Bwawa la Mkomazi hatimae kuona ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kutaka kujenga bwawa hilo la umwagiliaji sasa kutimizwa
Kampuni ya Swissport Tanzania imeingia makubaliano ya kufanyakazi na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere
Na: Mwandishi wetu, Dar es Salaam Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Kazi, imetoa elimu ya sheria
RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amepongeza walimu 5000 wa shule za msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya oryx na majiko yake kwa