Habari EXIM BANK YASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA October 7, 2024 Admin Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi la benki hiyo la Samora Avenue. Kushoto kwake ni Frank Matoro, Meneja Mkuu wa Huduma za Wateja. Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakifanya matembezi ya amani wakati wa kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 ambapo walitembea kutoka Makao Makuu ya benki hiyo, Exim Tower mpaka tawi lake la Samora Avenue jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 5 Oktoba 2024. Related Posts Habari Vurugu zazuka nje ya ukumbi wa uchaguzi Bawacha January 16, 2025 Admin Habari RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC January 16, 2025 Admin