Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS) kwenye uwanja wa mazoezi wa TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mazoezi ya timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS) kwenye uwanja wa TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFA STARS) wakifanya mazoezi mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa TRA, Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)