MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Igunga wakati akianza Ziara ya Kikazi mkoani Tabora leo tarehe 08 Oktoba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paul Chacha wakati alipowasili Wilaya ya Igunga katika kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Tabora leo tarehe 08 Oktoba 2024.

Related Posts