Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios wamekujia na shindano kabambe ambalo litahusisha michezo kadhaa ya Kasino ambapo itatoa washindi kadhaa ambao watapata nafasi ya kuondoka na maokoto ya kutosha kama ilivyo kawaida ya mabingwa wa michezo ya kubashiri.
Shindano hili litakwenda kuhusisha michezo karibu yote ya Expanse na kila mteja ambaye atakua anacheza michezo hii kikawaida atakua amepata nafasi ya kushiriki ikiambatana na usajili wake kwenye tovuti ya Meridianbet.
Shindano hili litachukua muda wa siku mbili kwani litaanza rasmi leo tarehe 11 mwezi huu wa kumi na kuhitimishwa rasmi tarehe 13 mwezi huu, Hivo wateja wote wa michezo ya Kasino wanapaswa kuchangamkia fursa ili kuweza kuondoka na kitita cha shilingi mlioni moja 1,000,000/= taslimu kutoka Meridianbet.
VIGEZO NA MASHARTI YA SHINDANO
-Jisajili kwenye tovuti ya Meridianbet
-Shindano litaendeshwa kuanzia 11.10 mpaka tarehe 13.10
-Promosheni hii itaendeshwa kwa mfumo wa shindano kupitia michezo ya Kasino kama Book of Egypt, Forest Rock, Book of Eksimo, Veni Vidi Vici,Sticky 777, Piggy Party na mingine mingi.
ZAWADI ZITAKOZOTOKA KUPITIA SHINDANO HILI
Fist Place- 1,000,000/= Million
Second Place- 500,000/=
Third Palce and Fourth palce- 250,000/=
Fifth Place- 100,000/=
Bila kusahau kutakua na zawadi nyingi kama mizunguko ya bure ambayo itatoka kwenye michezo mbalimbali ambayo utakua unacheza.
NB: Beti na Meridianbet kila mechi inatoa odds kubwa kwa wachezaji wote watakaobashiri Ligi mbalimbali kupitia mtandaoni, maduka ya ubashiri au kwa kupiga *149*10#