MAKAMU WA RAIS AKIWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA KALIUA – ILUNDE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Kaliua – Malagarasi – Ilunde sehemu ya Kazilambwa – Chagu (KM 36) katika kijiji cha Ugansa wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Ugansa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Kaliua – Malagarasi – Ilunde sehemu ya Kazilambwa – Chagu (KM 36) wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.

Related Posts