JUMAMOSI ya leo Meridianbet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya michezo nchini Tanzania kwa kutoa msaada wa mipira kwa klabu ya Sinza Star FC.
Mchango huu unalenga kukuza vipaji vya vijana na kuhamasisha ushiriki wa jamii katika michezo.
Akizungumza wakati wa ugawaji wa mipira hiyo, mwakilishi wa Meridianbet alisema, “Tunatambua umuhimu wa michezo kwa maendeleo ya jamii na vijana. Meridianbet inajivunia kushirikiana na klabu kama Sinza Star FC, ambayo imekuwa ikijitahidi kukuza vipaji vya soka mtaani. Tunatumaini kwamba msaada huu utasaidia kuongeza ari na hamasa kwa wachezaji, pamoja na kuboresha mazoezi yao.”
Sinza Star FC ni timu ya vijana yenye vipaji, inayoundwa na wachezaji kutoka maeneo mbalimbali ya Sinza. Klabu hiyo imekuwa ikishiriki kwenye mashindano mbalimbali ya mtaani, huku ikilenga kuwasaidia vijana kutumia muda wao vizuri na kujiepusha na vishawishi vibaya.
Leo hii mechi kibao za mataifa zinaendelea ingia Meridianbet na usuke jamvi lako kuanzia mechi za hapa Afrika, mpaka kule Ulaya. Pesa ipo mkononi kwako leo usisubiri kuahidithiwa na mtu. Jisajili hapa.
Nahodha wa Sinza Star FC, alishukuru Meridianbet kwa msaada huo, akisema, “Mipira hii itatusaidia sana katika mazoezi yetu na mashindano. Tunajivunia kuungwa mkono na Meridianbet, na tutatumia fursa hii kujitahidi kuwa bora zaidi.”
Meridianbet inajulikana kwa kujitolea kwake kusaidia jamii, hasa kupitia michezo na shughuli za kijamii. Kampuni hiyo imekuwa ikifanya juhudi za kusaidia klabu na timu za vijana kwa kutoa vifaa, ufadhili na mafunzo, ili kuinua viwango vya michezo nchini.
Ukiachana na zoezi la ugawaji wa mipira hiyo kumbuka pia kubashiri mechi za leo za mataifa zinazoendelea. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kwa msaada huu, Meridianbet inaamini kuwa wachezaji wa Sinza Star FC wataendelea kukua na kuonyesha vipaji vyao, huku wakihamasisha vijana wengine kujiunga na michezo na kuendeleza vipaji vyao.