Meneja Biashara kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Harieth Nyalusi akitoa maelezo kuhusu fursa mbalimbali zinazopatikana katika viwanja vya ndege vinavyosimamiwa na Mamlaka hiyo wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakiwa kwenye picha ya wakati wa wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.