PICHA :Rais Samia apokea mwenge wa Uhuru, Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo mwaka 2024 Ndg,Godfrey Mzava

Kwenye hafla ya kilele Cha mbio hizo Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza leo October 14, 2024.

 

 

Related Posts