Picha :yanayojiri katika maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwanza

Kutoka uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza yakifanyika maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa, na kumbukizi ya miaka 25 ya Hayati Mwl. Julius Nyerere, huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

 

 

The post Picha :yanayojiri katika maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwanza first appeared on Millard Ayo.

Related Posts