RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE

PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada ya Misa takatifu ya kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mt.Francis Xavier Nyakahoga Mkoani Mwanza leo October 14 2024.

 

Related Posts