ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1,000 yapo hapa

 

Mechi mbalimbali za mataifa hapa Afrika na kule Ulaya zinaendelea huku ndani ya Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni Tanzania VS DR Congo kwenye mechi ya kisasi huku Taifa Stars akihitaji ushindi wa hali na mali kujiweka kwenye nafasi ya kufuzu Afcon. Mechi ya mwisho walipokutana Stars alipoteza. Je leo hii pale Benjamin Mkapa anaweza kulipa kisasi kwa ODDS 3.92 kwa 2.06. Jisajili hapa.

Pia mtanange mwingine wa kukupa pesa ni huu wa South Sudan vs Uganda huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi 7 pekee. Ikumbukwe kuwa Sudan hajashinda mechi yoyote hadi sasa kwenye Kundi K. Meridianbet wamempa The Cranes nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.71 kwa 4.80. Suka jamvi hapa.

Siku ya kujaza kibubu chako na mechi za Mataifa ni leo. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Huku Lesotho ambaye ndiye kibonde wa Kundi B atakipiga dhidi ya Gabon anayeshikilia nafasi ya 2 akiwa na pointi zake 4. Mara ya mwisho kukutana timu hizi walitoshana nguvu. Ushindi ni muhimu kwa mwenyeji angalau atoke nafasi ya mwisho. Je ataweza kufurukuta dhidi ya mgeni wake?. Beti mechi hii yenye ODDS 5.68 kwa 1.55.

Senegal ugenini leo dhidi ya Malawi baada ya kushinda mechi yake iliyopita. Ikumbukwe kuwa mwenyeji mechi zote tatu alizocheza amepigika. Sasa je leo hii anaweza kuambulia pointi mbele ya vijana wa Aliou Cisse?. Mechi hii ina ODDS 8.62 kwa 1.27. Jisajili hapa.

Vilevile Guinea-Bissau atakuwa uso kwa uso dhidi ya Mali ambapo timu hizi zimetofautiana pointi 4 kwenye msimamo wa kundi. Guinea yupo nafasi ya 3 akiwa na pointi 3 huku mgeni wake akiwa wa 2 na pointi zake 7. Mechi hii imepewa ODDS 3.77 kwa 1.93. Beti mechi hii sasa.

Rwanda atakuwa mwenyeji wa Benin ambaye alishinda mechi ya mwisho walipokutana, hivyo mwenyeji anataka kulipa kisasi leo kwake. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda mtanange wa leo kwa ODDS 2.55 kwa 2.74. Je kisasi kitaweza kulipa?. Bashiri hapa.

Kule Ulaya pia mechi za mataifa zitaendelea ambapo Spain atamualika Serbia ambao wapo nafasi ya 3 kwenye kundi lao wakiwa na pointi 4, huku wenyeji wakiwa ndio vinara wa kundi na pointi zao 7. Mechi ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Mechi hii ina ODDS 1.38 kwa 4.90. Beti hapa.

Switzerland ambaye hajashinda mechi yoyote hadi sasa atakuwa mgeni wa Denmark ambaye ana pointi zake 6 kwenye mechi tatu alizocheza. Licha ya mwenyeji kutoshinda hata mchezo mmoja, bado ndiye anayepewa nafasi ya kushinda mechi ya leo akiwa na ODDS 2.20 kwa 3.23. Jisajili hapa sasa.

Halikadhalika Scotland atakiwasha dhidi ya Portugal ya kina Ronaldo ambao kwenye mechi zao 3 walizocheza wameshinda zote. Wakati kwa upande wa mwenyeji yeye amepoteza mechi zote 3. Mechi ya mwisho kukutana, Ureno walishinda. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 4.90 kwa 1.57.

Vilevile unaweza ukabashiri mechi hii ya Poland VS Croatia ambapo tofauti yao ni pointi 3 pekee huku mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya ushindi mgeni akiwa na ODDS 2.30 kwa 2.89. Wewe unampa nani pesa yako akupe ushindi?. Beti sasa.

About The Author

Related Posts