Tusua mkwanja na Meridianbet leo ambapo ligi mbalimbali zimerejea baada ya wiki mbili nzito za mapumziko ya Kimataifa. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako sasa.
Tutaanza kuangazia ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA ambapo leo kuna mchezo mmoja Borussia Dortmund atakuwa mwenyeji wa FC ST. Pauli huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6, mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni wake nafasi ya 15. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.29 kwa 8.82. Jisajili hapa.
Pia kule Ufaransa LIGUE 1 kutakuwa na kimbunga cha maana AS Monaco ambao ndio vinara wa ligi watawaalika Lille OSC huku mara ya mwisho kukutana timu hizi Monaco alishinda ushindi mwembamba. Ikumbukwe kuwa timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Je leo nani ataibuka mbabe katika dimba la Louis ii majira ya saa 3:45?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.89 kwa 3.92.
Ijumaa ya mshindo ndio hii ndani ya Meridianbet ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Weka jamvi lako kwenye mechi hii ya Deportivo Alaves VS Real Valladolid kule LALIGA huku timu zote zikiwa zimepoteza mechi zao za mwisho kabla ya mapumziko ya Kimataifa. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.62 kwa 5.68. Bashiri hapa.
Vilevile ligi kuu ya Tanzania, NBC PREMIER LEAGUE kuna michezo ya kukata na shoka leo matajiri wa Chamazi, Azam FC watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Tanzania Prisons ambao wapo nafasi ya 10 wakiwa na pointi zao 7. Wanalambalamba wapo nafasi ya 5 na pointi 12. ODDS za mechi hii ni 5.68 kwa 1.54. Suka jamvi hapa.
Naye JKT Tanzania atapambana dhidi ya Tabora United huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee. Mwenyeji ametoka kupoteza mchezo wake uliopita halikadhalika nao Tabora wamepoteza mechi yao iliyopita, hivyo kila timu leo inahitaji pointi 3. Nani kushinda leo?. 1.85 kwa 4.21 ndio ODDS za mechi hiyo. Bashiri sasa.
Kule Uingereza CHAMPIONSHIP pia itaendelea kwa mtanange mmoja Leeds United VS Sheffield United katika dimba la Elland Road. Leeds alishinda mechi ya mwisho walipokutana 2021 huku kwenye msimamo wa ligi Sheffield akiwa juu kwa tofauti ya pointi 3. 1.81 kwa 4.11 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Kule Saudi Arabia pia ligi hiyo inaendelea ambapo bingwa mtetezi Al Hilal atakipiga dhidi ya Al Feiha ambaye yupo nafasi ya 14 kwenye ligi hiyo na pia akiwa hapewi kabisa nafasi ya kushinda leo pale Meridianbet kwa ODDS 22.54 kwa 1.06. Je beti yako unampa nani leo?. Beti hapa.
Al Nassr wao watasafiri kukipiga dhidi ya AL-Shabab ambaye yupo nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Ronaldo na wenzake wapo nafasi ya 3 huku wakiwa juu kwa pointi 2 pekee. Meridianbet wamewapa vijana wa Stefano Pioli nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.54 kwa 5.09. Bashiri sasa.