Sloti hii ya kasino ya mtandaoni yenye mistari wima (coloumns) mitano iliyopangwa na mistari mlalo (rows) minne na ina mistari 40 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kupata alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Unaweza kupata ushindi mmoja tu, kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa mstari wa malipo una mipangilio ya ushindi kadhaa, utalipwa mpangilio wenye thamani kubwa zaidi.
Jumla ya ushindi unawezekana kutokea ikiwa umeunganisha mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.
Kwenye sehemu ya kuweka Bet kuna vitufe vya “jumlisha(+)” na “kutoa(-)” ambavyo vinatumika kuongeza au kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.
Pia kuna chaguo la Kucheza Moja kwa Moja (Autoplay), ambalo unaweza kulitumia unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500. Pia unaweza kuweka mipaka ya faida na hasara inayopatikana wakati wa kutumia chaguo hili.
Kama unapenda mchezo wenye spidi au kasi zaidi, unaweza kuwezesha chaguo la Haraka (Fast Spin) na chaguo la Kasi Kubwa (Turbo Spin). Unaweza kurekebisha viwango vya sauti kwenye kona ya chini kushoto.