CHATANDA AHAMASISHA WANAWAKE KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWA WINGI NA KUGOMBEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI

Na Mwandishi Wetu, Tanga Mjini

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewataka wanawake wote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali bila kuogopa lolote lile.

Aidha, Chatanda amewataka wanaume wote kuendelea kuwaunga mkono wanawake wenye karama na uwezo mkubwa wa uongozi na bila ubaguzi wowote ule.

#uwtimara
#jeshiladktsamianadktmwinyi

Related Posts