Unasubiriwa wewe tu hapa Supedom Masaki

Ni siku ya Tuzo za Tanzania Music Awards zinazotolewa kwa wale waliofanya vizuri kwa mwaka 2023 Kwenye upande wa Muziki hapa bongo, location ni Masaki na chimbo ni The Dome kuna mengi ila kwa sasa tukuoneshe muonekano wa eneo litakalo andika historia kwenye Muziki wa bongo leo…

      

 

 

Related Posts