LEO ni siku nyingine tena ya kutusua mapene na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yakipatikana hapa. Unasubiri nini sasa?. Ingia na ubashiri hapa.
Na mechi inayosubiriwa kwa hamu kabisa leo ni hii ya Liverpool VS Chelsea ambapo mara ya mwisho kukutana, The Blues walipigika. Lakini sasa vijana hao wa Darajani wana kocha mpya huku wakikusanya pointi 14 kwenye mechi 7 walizocheza. Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi Jogoo wa Anfield kwa ODDS 1.59 kwa 4.70. Bashiri hapa.
Villarreal baada ya kupoteza mchezo uliopita, leo hii atakipiga dhidi ya Getafe ambao walitoa sare mchezo uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 huku mechi ya mwisho kukutana walitoa sare ya kufungana. ODDS za mechi hii ni 1.81 kwa 4.41. Jisajili hapa.
Mechi ya mwisho Hispania leo ni hii ya FC Barcelona VS Sevilla ambapo vijana wa Hans Flick akihitaji ushindi huu kwa hali na mali ili iweze kujikita kileleni zaidi. Mgeni naye anazitolea macho hizo hizo pointi 3 ili aapende hadi nafasi ya 8. Beti mechi hii yenye ODDS 1.27 kwa 8.82.
Tukihamia kule Italia SERIE A pia itapigwa leo Atalanta baada ya kupata ushindi mnono mechi iliyopita leo hii atakuwa mgeni wa Venezia ambaye ndiye kibonde wa ligi hadi sasa akiambulia pointi 4 pekee kwenye mechi 7 ambazo kacheza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.
Wakati US Lecce yeye atamenyana dhidi ya Fiorentina ambapo timu hizi zimetofautina pointi 5 pekee. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana. Na kule Meridianbet wanampa nafasi hiyo ya kushinda De Gea na wenzake kwa ODDS 2.30 kwa 3.14. Wewe unampa nani ushindi huu?. Jisajili sasa.
Pia ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 kuna mitanange ya kutosha ambapo Lyon atasaka pointi 3 ugenini dhidi ya Le Havre ambaye alipigika mchezo wake uliopita. Mechi ya mwisho kukutana hawa wawili, Lyon alicheze. Je leo hii kwa ODDS 4.21 kwa 1.81 nani atashinda?. Suka jamvi hapa.
Naye Marseille atapepetana dhidi ya Montpellier ambaye ni wa 17 kwenye msimamo wa ligi akiwa na pointi 4 pekee. Marseille yeye ni wa 3 akliwa na pointi zake 14 tuuh huku leo akihitaji ushindi kwa hali na mali kuendelea kushikilia hiyo nafasi yake. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.