Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika (SADC) lazima ziwe makini sana katika kuuendeleza na kukuza utalii wenye tija na kwa kulitambua hilo GAAB
Day: October 21, 2024
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ahakikishe mkandarasi anayejenga mabweni, madarasa na vyoo katika shule ya sekondari
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Stergomena Lawrence Tax October 21,2024 amewasili na kukipokea Kikosi Maalumu cha Jeshi la Wananchi wa JWTZ kilichopandisha
Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua kampeni ya tuwaambie kabla hawajaharibiwa kwa lengo la kuongea na wanafunzi kuanzia
Credit: The directrate of the World Nomad Games Maoni na Katsuhiro Asagiri (astana/tokyo) Jumatatu, Oktoba 21, 2024 Inter Press Service ASTANA/TOKYO, Oktoba 21 (IPS) –
Na Mwandishi Wetu WATAALAM 800 kutoka nchi 21 wamekutana jijini Dar es Salaam katika kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10). Hayo yameelezwa na Kamishna
Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda, amekutana na Waziri wa Nchi Ofisi
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV WADAU mbalimbali wakiwemo Asasi isiyo ya kiserikali ya AGENDA pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Menejimenti ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Erasmus Kipesha, imekutana kwa siku mbili kuanzia Oktoba 21 na 22, 2024, kwa
Mkuu wa Missoni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Africa (SADC-SEOM) Mheshimiwa Mizengo Pinda, amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji