Picha: GSM na Hersi Rais wa Yanga washiriki uchaguzi Serikali za Mitaa

Ni October 20, 2024 ambapo Mdhamini na mfadhili wa Klabu yetu Ghalib Said Mohamed(GSM) na familia yake pamoja Rais wetu Eng. Hersi Said walipofika jana kujiandikisha kwenye daftari la mkazi kupiga kura kuwachagua Viongozi wa serikali za mitaa.

 

The post Picha: GSM na Hersi Rais wa Yanga washiriki uchaguzi Serikali za Mitaa first appeared on Millard Ayo.

Related Posts