Rais wa Yanga ashinda tuzo Ufaransa

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said, ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya soka barani Afrika.

Sherehe ya utoaji tuzo hizo za ‘Nigeria-France Sports Awards,’ zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Ali Jabir Mwadini.

Related Posts