RAIS WA ZANZIBAR .DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA CHARAWE WILAYA YA KATI UNGUJA LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wazee wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja, baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awa
MZEE wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja Khamis Abdallah Hatib (Babalao) akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Kijiji hicho, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akikagua Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu, wakati wa hafla ya ufunguzi Barabara hizo uliyofanyika leo 24-10-202, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.

WANANCHI wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji hicho, wakati akikagua Barabara hiyo leo 24-10-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mzee Haji Suleiman akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, baada ya kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja. Baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Related Posts