UNAAMBIWAJE!! Michuano ya Uefa Europa league itapigwa leo Alhamisi na timu mbalimbali zitatupa karata zao uwanjani kutafuta alama, Huku wewe ukiwa na nafasi ya kushinda maokoto ya kutosha kupitia michezo hiyo itakayochezwa.
Michezo ya Europa league imekua ikiwapa watu wengi fursa ya kunyakua mamilioni kila ambapo michuano hii inapokua inachezwa, Hivo leo ni siku nyingine tena ya kupata nafasi ya kushinda mkwanja kupitia michuano hii.
Klabu ya Manchester United itakua ugenini nchini Uturuki kumenyana na klabu ya Fenerbahce ambao wapo chini ya kocha wao wa zamani Jose Mourinho, Lakini pia mashetani hao wekundu watakua wanatafuta ushindi wao wa kwanza kwenye michuano hiyo msimu huu baada ya kusuluhu michezo miwili ya awali.
Fc Porto wao baada ya kusuluhu na klabu ya Manchester United katika mchezo uliomalizika leo watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Hoffenheim kutoka nchini Ujerumani mchezo ambao umepewa Odds nono.
Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo uliopita ugenini leo watakua nyumbani na moja ya timu ngumu kutoka nchini Uholanzi klabu ya Az Alkamaar, Mchezo unaotarajiwa kua mgumu na wenye ushindani mkubwa.
Fc Twente watakua nyumbani leo kumenyana na klabu ya Lazio ambayo ilitoka kupata ushindi mnono dhidi ya Nice ya Ufaransa, Je leo Lazio wataweza kupata matokeo ya ushindi wakiwa ugenini dhidi ya Fc Twente? Weka mkeka wako kupitia mchezo huu
Athletic Club wanashuka dimbani leo kumenyana na klabu ya Slavia Prague, Athletic Club wanapewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo huu kutokana na ubora wao na faida ya kua nyumbani. Bashiri mchezo huu uweze kupiga mkwanja.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.