Kupitia mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanasogezea mchezowa kasino wa 40 Lucky Sevens, Kupitia Mchezo huu unaweza kuondoka na kitita kizito.
40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma“Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama zaJokeri zinazojaza mistari wima (coloumns). Unaweza kuongeza ushindi wako kwa msaadawa bonasi za ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni.
Sloti hii ya kasino ya mtandaoni yenye mistari wima (coloumns) mitano iliyopangwa na mistarimlalo (rows) minne na ina mistari 40 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kupataalama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Nyota ndiyo alama pekee ya mchezo inayotoa malipo kwa alama mbili zinazofanana kwenyemstari wa malipo. Mipangilio yote ya ushindi, isipokuwa mipangilio yenye alama za scatter, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia mstari wima (coloumn) wa kwanza kushoto.
Unaweza kupata ushindi mmoja tu, kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa mstari wa malipo unamipangilio ya ushindi kadhaa, utalipwa mpangilio wenye thamani kubwa zaidi.
Jumla ya ushindi unawezekana kutokea ikiwa umeunganisha mistari kadhaa ya malipo kwawakati mmoja.
Kwenye sehemu ya kuweka Bet kuna vitufe vya “jumlisha(+)” na “kutoa(-)” ambavyovinatumika kuongeza au kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.
Pia kuna chaguo la Kucheza Moja kwa Moja (Autoplay), ambalo unaweza kulitumia unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500. Pia unaweza kuweka mipaka yafaida na hasara inayopatikana wakati wa kutumia chaguo hili.
Kama unapenda mchezo wenye spidi au kasi zaidi, unaweza kuwezesha chaguo la Haraka (Fast Spin) na chaguo la Kasi Kubwa (Turbo Spin). Unaweza kurekebisha viwango vya sauti kwenyekona ya chini kushoto.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya kasino au mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, lichana kasino unaweza kujiongezea kipato kwa kubashiri michezo mingiyenye odds kubwa. Jisajili na Cheza.