Wikendi ya kula mkwanja mrefu na Meridianbet ni hii ya leo kwani Duniani kote kuna mechi kibao zinapigwa. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi hapa.
Kama kawadia ligi kuu ya Uingereza EPL kuna mitanange mizito ya pesa ambapo Aston Villaatakipiga dhidi ya AFC Bournemouth huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 ambapo mechi ya mwisho kukutana, vijana wa Unai walishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 1.91 kwa 3.77. Jisajili sasa.
Mechi nyingine ni hii ya Brighton VS Wolves mchezo ambao utapigwa katika dimba la American Express. Ikumbukwe kuwa Wolves hawajashinda mechi yoyote kwenye ligi na ndio wanashika mkia kwenye ligi. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.64 kwa 4.80. Bashiri hapa.
Bingwa mtetezi, Manchester City chini ya Guardiola watakuwa nyumbani Etihad kumenyana dhidi ya Southampton ambao nao wana hali mbaya kwenye ligi nafasi ya 19 kwenye ligi wakiwa na pointi 1 pekee. Je Soton watamzuia Pep kuchukua ushindi kwao leo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
Mechi ya usiku leo Uingereza leo hii inayowakutaisha kati ya Everton ambaye alishinda mechi yake iliyopita dhidi ya Fulham ambaye alipigika nyumbani. The Toffees wamepewa ODDS 2.69 kwa 2.60. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye hii mechi ya leo. Jisajili hapa.
Ni rahisi sana kupiga mpunga mrefu na Meridianbet leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile ligi kuu ya Hispania LALIGA kuna mechi za kupiga pesa leo mapema kabisa Real Valladolid atamualika kwake Villarreal ambao walitao sare mechi yao iliyopita huku wenyeji wao wakishinda. Mwenyeji ni wa 18 na mgeni yeye ni wa 4. Nani kushinda leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 3.62 kwa 1.96. Bashiri hapa.
Nao Girona watakuwa ugenini dhidi ya UD Las Palmas ambao wanashika nafasi ya pili kutoka mwisho. Mgeni anashika nafasi ya 13 na mtanange wa mwisho kukipiga Palmas alipoteza. Je Girona kuendeleza ubabe wake mbelel ya mwenyeji wake?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Suka jamvi hapa.
Na usiku wa leo ndio kitawaka haswa ambapo majira ya saa 4 usiku EL Clasico itapigwa pale Santiago Bernabeu kati ya Real Madrid VS FC Barcelona ambapo timu hizo zikitofautiana pointi 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana Real alishinda. Je Barca ya Hans Flick watalipa kisasi. Mechi hii ina ODDS 1.89 kwa 3.57. Beti sasa.
SERIE A kule Italia pia itaendelea ambapo Napoli atamualika kwake US Lecce ambao ni wa pili kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Conte na vijana wake ni vinara wa ligi na wanataka uhsindi huu wa leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuchukua Scudetto. 1.32 kwa 9.01 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Atalanta uso kwa uso dhidi ya Hellas Verona majira ya 3:45 usiku huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.27 kwa 9.80. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Beti yako unampa nani? Suka jamvi lako hapa.
Tengeneza pesa nyingi na mechi za BUNDESLIGA leo, RB Leipzig baada ya kupata ushindi mechi yake iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya SC Freiburg ambao nao pia walishinda mechi yao iliyopita. Hapa kila timu inazitolea macho pointi 3 hizo. Je nani ataibuka mbabe leo pale Red Bull Arena?. 1.79 kwa 4.01 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.
Borussia Dortmund atasafiri kupepetana dhidi ya FC Augsburg ambaye alipigika mechi yake iliyopita. Lakini pia mwenyeji huyo yupo nafasi ya 15 kwenye ligi. Meridianbet wamempa Dortmund nafasi ya kushinda akiwa na ODDS 1.83 kwa 3.72. Jisajili hapa.
Huku baadae Werder Bremen watamleta kwao bingwa mtetezi Bayer Leverkusen ambao wanapendelewa kushinda mechi ya leo. Xabi Alonso anahitaji ushindi huu wa leo ili apambanie kombe lake na msimu huu kwa ODDS 1.42 kwa 6.07. Bashiri hapa.
Malizia jamvi lako na ligi ya Ufaransa LIGUE 1 kwani huku nako kuna mechi za maokotoAngers kukipiga dhidi ya AS Saint- Etienne ambao walipigika mchezo wao uliopita wakati mwenyeji yeye alitoa sare. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 hapa. Bashiri sasa.
Nao Stade Reims atamenyana dhidi ya Stade Brest 29 na mwenyeji yeye yupo nafasi ya 6 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 12. Tofauti ya pointi kati yao ni 4. Mechi hii imepewa 1.93 kwa 3.87. Beti mechi hii sasa.
Na mtanange mzito leo hii Ufaransa ni huu unaowakutanisha kati ya RC Lens dhidi ya Lille OSC huku timu hizi zote zinatafatana kwenye msimamo wa ligi lakini pia wote wana pointi 14, kinachowatofautisha ni magoli pekee. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.20 kwa 3.28. Jisajili hapa.