Birthday ya JPM, mkewe Mama Janet amfanyia sala

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya Tano DKT John Pombe Magufuli alizaliwa October 29 1959 huko Chato na kufanikiwa Dunia March 17, 2021 akiwa na umri wa miaka 62

Pamoja na mengi ya kukumbukwa, familia ya Dkt John Magufuli imeendelea kumuombea pumziko jema la milele na kuwaomba wa Tanzania waendelee kumuombea huko aliko.

The post Birthday ya JPM, mkewe Mama Janet amfanyia sala first appeared on Millard Ayo.

Related Posts