LEONBET kumwaga fedha kwa watakao bashiri kwa usahihi matokeo ya Trump dhidi ya Kamala

Wakati joto la uchaguzi mkuu wa
Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota
ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri
kiusahihi matokeo ya wagombea, Donald Trump na Kamala Harris.

Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana alisema
kuwa wameamua kupanua wigo wa kubashiri kwa wafuatiliaji wa siasa ili na wao
waweze kufaidika kupitia ubashiri wao.

Maligana alisema kuwa hii ni nafasi yao ya
kipekee ya kutumia maarifa yako kushinda pesa kupitia uchaguzi wa Marekani
ambao unatarajiwa kuwa na  mchuano mkali
kwa wagombea hao wawili.

 

“Cha kuvutia zaidi, sasa unaweza kubeti
matokeo haya kupitia LEONBET,
kampuni mpya ya kubashiri nchini Tanzania iliyokuja na nguvu kubwa, odds za
kibabe, na malipo fasta,” alisema Maligana.

 

LEONBET
inachukua Soko la Kubeti Tanzania kwa Kishindo

 

Kwa mujibu wa Maligana, kwa zaidi ya miaka 15
katika sekta ya kubashiri, LEONBET imefanikiwa kutoa huduma za kiwango
cha juu kwa wateja wake ulimwenguni kote.

“Sasa, kampuni hii yenye uzoefu mkubwa imekuja
Tanzania na inaleta mabadiliko makubwa kwenye soko la kubeti mtandaoni.

 

Kwa watumiaji wa Tanzania, LEONBET
inaleta mambo mengi ya kuvutia kama Odds Kubwa – Beti zako zinaweza kukupatia
ushindi mkubwa zaidi na pili malipo ya haraka ambayo uwawezesha washindi kupata
malipo papo hapo,” alisema. Pia alisema kuwa kampuni yao imepanua wigo wa
kubashiri (Masoko Mengi ya KubetI) ambayo inawapa fursa wapenda michezo, siasa,
au burudani na vile vile kuwapa nafasi ya FREEBET hadi kufikia Sh8, 000 kwa
wateja wapya.

 

“Unapojisajili leo, unapewa FREEBET
hadi Sh8, 000 kwenye mwezi wako wa kwanza. Hii ni nafasi yako ya kuanza bila ya
kuwekeza pesa zako mwenyewe na kuongeza nafasi yako ya kushinda.” Alisisitiza.

 

Alisema kuwa ili kuwapa wateja wao huduma bora
zaidi, wameamua kuwa hewani kwa wateja wao kwa masaa 24 katika wiki (24/7) na
kuwa na michezo ya mingi mbalimbali.

 

“Kwa wateja wa LEONBET, huduma ya wateja inapatikana masaa
24  siku saba (7) wiki ili kuhakikisha
unapata msaada unaohitaji kila wakati. Unaweza pia kufurahia michezo mingi ya
kubashiri – iwe ni mpira wa miguu, michezo ya kasino, au matukio makubwa kama
uchaguzi wa Marekani,” alisema Maligana.



Wagombea kiti cha Urais wa Marekani, Kamala Harris (kushoto) na Donald Trump.

Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana

Related Posts