Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Kaliua – Malagarasi –
Month: October 2024
Leo Oktoba 11, 2024, historia imeandikwa katika mikoa ya kusini baada ya kufanyika mnada wa kwanza wa korosho ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika Tandahimba
Berlin, Ujerumani Waziri Aweso amehitimisha ziara yake nchini Ujerumani aipofika Berlin ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambapo ameushukuru Ubalozi wa Tanzania nchini humo
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, ametuma ujumbe wa
Farida Mangube, Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Kighoma Malima amewataka watanzania kumuenzi Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa maono yake ya kuwa na uchaguzi
Mkuu wa Shule ya Msingi Kiloleni, Rajab Kiama ( kulia) akiishukuru EWURA kwa kuwezesha ununuzi wa madawati yakiyokabidhiwa shuleni hapo na Ofisa Mwandamizi Huduma kwa
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe William Lukuvi ametoa rai kwa viongozi wa vyama
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 11, 2024 anazindua maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa mwaka 2024 inayofanyika katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza. Maadhimisho
Shirika la Japan Nihon Hidankyo waws leo limetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel. Credit: Niklas Elmehed/Tuzo ya Nobel na Mwandishi wa IPS (umoja wa mataifa)
Jukwaa la Wanawake katika Usafiri wa Anga limeshiriki kusherehekea Siku ya Mtoto wa Kike Duniani kwa kutoa elimu kwa mabinti wa kike juu ya Usafiri