Siku ya leo umefanyika mkutano wa waandishi wa Habari juu ya tamasha la Samia Fashion Festival linatarajiwa kuzinduliwa, likiwaunganisha pamoja vipaji vikubwa vya mavazi vya
Month: October 2024
Haya ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu, huku kukiwa na mwamko mdogo wa wananchi waliojitokeza kujiandikisha katika daftari
NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameipongeza Kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa kutoa mitungi 1,000 ya gesi katika
Serikali imetoa zaidi ya shilingi Billioni 2, kwa vijana wa kata ya Luchelele Jijini Mwanza kwa kuwawezesha kuwekeza katika ufugaji wa samaki kwa njia ya
Wakati wa mkutano na Rais Zelensky, Scholz amesema kuwa msaada huo mpya wa Ujerumani kwa Ukraine, unajumuisha mifumo ya ulinzi wa anga, silaha na droni.
RAIS SAMIA ATANGAZA MAPUMZIKO NOV 27, AKIJIANDIKISHA DAFTARI LA MKAAZI KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA
-Asema ni mapumziko ya kitaifa, ili wananchi washiriki kupiga kura kikamilifu . -Asisitiza kila mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa Rais wa Jamhuri
Hali ya ulinzi na Usalama katika wilaya ya Mvomero imeimarishwa jambo ambalo limechochea Watu kujitokeza Kwa wingi Kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwenye vituo
KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imetoa mitungi 1,000 ya gesi ya kupikia kwa Mama Lishe wa Mkoa wa Dar es Salaam ili kuhakikisha kampeni ya
Na Humphrey Shao, Michuzi Tv Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amewathibitishia wananchi mazingira ya kujiandikisha, kupiga kura, kuhesabu kura pamoja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za