MKURUGENZI wa Huduma za Tiba Dk. Hamad Nyembea, amewataka wazazi na walezi, kulinda afya ya macho ya watoto, kwa kuzingatia muda wanaotumia kwenye runinga,
Month: October 2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika wakurejesha diplomasia ya Uchumi na kuendeleza biashara baina ya
BUNGE la Seneti nchini Kenya, litaanza kujadili hoja ya kumuondoa ofisini, Naibu wa Rais, Rigathi Gachagua, Jumatano na Alhamisi, wiki ijayo. Inaripoti Mitandao ya
SERIKALI yatuma salamu kwa wafanyabiashara na viongozi wababaishaji wanaokandamiza wakulima wa Tumbaku kwa kuchelewesha malipo ya fedha za ruzuku ya mbolea ili kuacha mara moja
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limesema watengenezaji wengi wa mkaa mbadala bado wanatumia mabaki ya mkaa
Hospitali ya CCBRT iliyoko Msasani Dar es Salaam inaungana na dunia kuadhimisha siku ya afya ya macho duniani mwaka 2024, kwa kusogeza huduma za macho
Spika wa baraza la seneti Amason Kingi nchini ametangaza kuwa mapema hii leo amepokea taarifa ya hoja iliyopitishwa na bunge jana likiunga mkono kutokuwa na
Wanafunzi na wadau mbalimbali wakiendelea kujitokeza ili kuongeza uelewa juu ya utendaji wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Juma la
Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuendelea kutafuta maoni kuhusu sheria inayoisimamia Mfuko huo ili
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya Juma Saidi Mfaume (40), mkazi wa Mbagala, Mlandizi kisa deni