Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mheshimiwa Said Mshana, amemwakilisha Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof Makame Mbarawa katika kikao cha Nchi
Month: October 2024
TCRA YAZINDUA KAMPENI YA “NI RAHISI SANA” KANDA YA KASKAZINI KUHIMIZA KUJILINDA NA UHALIFU MTANDAONI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kaskazini Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Ni Rahisi Sana Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari
Katika mahojiano maalumu na Idhaa ya Kiingereza ya DW, kwenye mkutano kuhusu nishati endelevu uliofanyika Oktoba 7 mjini Hamburg, nchini Ujerumani, rais Mbumba amesema ukame umesababisha
Ushirikiano kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa
Hapa ndio unahitaji kujua kuhusu UNIFILKikosi cha Muda cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon: Mamlaka ya Baraza la Usalama UNIFIL iliundwa na Baraza la Usalama
Akizungumza kutoka ikulu ya Marekani ya White House hapo jana, Rais Biden alisema kimbunga Milton ni suala la hatari kwa usalama na kuwahimiza wale waliopewa
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo ,akikagua kiwanda cha Lodhia kinachotengeneza mabati kilichopo eneo la Kisanvule, Mkuranga (Pwani). …. SERIKALI imetoa wiki tatu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi, amesema Serikali itaendelea kuheshimu misingi iliyowekwa na vyama vya siasa katika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Gavana wa Jiji la Moroni, Comoro Mhe Ibrahim Mzee