Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium) nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika
Month: October 2024
Meneja wa Uhusiano wa Umma na Masoko wa TANTRADE Lucy Mbogolo, akionesha baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa Tanzania katika banda hilo. Na; Mwandishi wetu, GEITA. Mamlaka
Urusi ilitumia makombora mawili ya masafa marefu aina ya Iskander-M na droni 19 katika shambulizi la usiku, lakini jeshi la anga la Ukraine likaziangusha droni
Jeshi la Israel limesema lilikuwa linaendesha operesheni ndogo makhsusi za ndani kusini magharibi mwa Lebanon, baada ya kutangaza operesheni kama hizo katika eneo la mpaka
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua maadhimisho ya mwezi wa huduma wa kwa wateja huku ikijivunia mafanikio mbalimbali ikiwemo maboresho makubwa ya huduma
Upotevu wa kusikia tayari hugharimu bara hilo dola milioni 27 kila mwakainayoleta athari kubwa kwa maisha na uchumi, kulingana na ripotiambayo ilizinduliwa katika Mkutano wa
Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema viwango vya tahadhari hiyo vimepanda na kufikia hatua ya tatu, ikimaanisha raia wake ni lazima
OUT yaendesha mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kwa maafisa mipango,wachumi na watakwimu Serikalini
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimepongezwa kwa kutoa mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kwa maafisa wanaoshughulikia vitengo husika kwenye majiji, manispaa na halmashauri za
SERIKALI imetoa maagizo tisa kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika maeneo yao
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) pamoja na vyombo vingine vya usafiri ndani ya maji kuzingatia sheria na miongozo