Wananchi wa Jimbo la Paje lililopo katika Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika moja ya vituo kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye
Month: October 2024
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Zaidi ya Sh 855,000 zimechangwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa ili kusaidia wenzao wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Na Paulus Oluochi – WMA Geita Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo Mkoa wa Geita, Eva Ikula, amewahimiza wadau katika sekta ya madini kuhakikisha wanatumia mizani
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kikundi cha kuweka na kukopa cha Sehundofe kimetoa mikopo ya zaidi ya Sh bilioni 4.2 kwa wanachama wake kuwawezesha kujikwamua
Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Getrude Mbiling’i (kulia) akimuelekeza mteja kujaza fomu ya malalamiko kuhusu huduma zinazodhibitiwa na EWURA
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanga Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameiagiza Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), kuweka utaratibu mzuri kuhakikisha kunakuwa na vifaa vyote
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewataka waandishi wa daftari la mkazi kufanya kazi hiyo kwa Ufanisi, udilifu,
“Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha masuala ya Menejimenti ya maafa nchini” Dk. Yonazi
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imesema itaendelea kuimarisha masuala ya menejimenti ya maafa kwa lengo
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema Sheria na Miongozo ya Maafa ni
Biogas ni bingwa wa uendelevu, inayotoa nishati safi, inayoweza kurejeshwa na kusaidia kutatua tatizo la taka za kikaboni kwa kuibadilisha kuwa nishati ya mimea, anasema