MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuendelea
Month: October 2024
Imeelezwa kuwa, Majiko Banifu yanayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 yanapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza
BAADA ya kusota gerezani siku 19 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ hatimaye amepata dhamana.
Madaktari wa Bingwa wa Rais Samia wametakiwa kutoa hamasa kwa wananchi wa Mkoa wa Katavi kuwa na utamaduni wa mama mjamzito kuwahi kwenda kwenye vituo
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwafikia wateja wake katika
Jeshi la Israel limetangaza hivi leo kuwa limetuma askari zaidi ili kuendeleza operesheni ya ardhini kusini mwa Lebanon. Kundi la Hezbollah limesema hii leo kuwa
Kulingana na Warepublican wengi, kiwango cha chini cha kuzaliwa kwa Amerika na shida ya ustaarabu iliyosababishwa na matokeo yake mabaya kwa nchi inaweza kulaumiwa kwa
Wafuasi wa Kais Saied tayari wameanza kusherehekea kwa kupiga honi barabarani muda mfupi tu baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika huku televisheni ya kitaifa
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 7,2024 ametembelea mazoezi ya timu ya Taifa, Taifa Stars inayojiandaa na michezo miwili ya kufuzu michuano
Tangu mashambulizi ya Hamas yalipotokea mwaka uliopita kusini mwa Israel, mambo hayajawa sawa tena kwa wakaazi wa Ukanda wa Gaza. Hadi wakati huo, Israel na