Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UWT Taifa, Ndugu Mariam Abdallah Ulega (wa pili kulia) akikabidhi Simu tatu kwa viongozi wa CCM Wilaya ya Shinyanga
Month: October 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia Kanda ya Afrika, Dkt Faustine Ndugulile, ambae pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni, amewaasa wananchi kujenga utaratibu
Na Nihifadhi Issa. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imesaini makubaliano na Serikali ya India katika kuhakikisha chuo cha International Institute Technology (IIT madras) kinafundisha
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile,akizungumza wakati akizindua maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja
-Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma
Mwakilishi kampuni ya tuzo za chapa bora Afrika.(Best Brand Awards Africa’) nchini, Zakayo Shushu akimkabidhi tuzo mwanamitindo Hamisa Mobeto wakati wa tuzo zilizofanyika katika Ukumbi
NA MWANDISHI WETU KATIKA kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya NMB imeitambulisha kampeni kubwa ya mapinduzi huduma kiteknolojia iitwayo Sisi ni Huduma ‘Tumekupata,’
Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama ‘Mama Lishe’ wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa
Dar es Salaam, Oktoba 7, 2024 – Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024, Benki ya CRDB imezindua rasmi mfumo mpya wa kidijitali wa
Katika mazungumzo yake na viongozi hao kutoka vyama vya MPD, PEMO, UDM, RD, PDM, Ecologists na PPD, Mhe. Dkt. Karume pamoja na mambo mengine aliwaeleza