Afisa huyo wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia alisema kwamba amesikitishwa mno na mashambulizi ya kigaidi yanayofanywa na kundi la wanamgambo la al-Shabaab. “Vita dhidi ya
Month: October 2024
Na Oscar Assenga, TANGAMAAMUZI ya Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Handeni Mkoani Tanga Kombo Mbwana Twaha kupelekwa mahakamani Kuu kwa ajili
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Doto Biteko amesema kuwa Serikali inathamini
Kufuatia mashambulizi makubwa ya makombora ya Iran dhidi ya Israel siku ya Jumanne (Oktoba Mosi), kila upande umekuwa ukijipiga kifua na kunadi uwezo wa kumuadhibu
-Akabidhi magari kuboresha utendaji kazi -Azindua Jarida maalum kupanua wigo uhabarishaji umma Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah ameitaka Menejimenti ya
Mashambulizi hayo ambayo Israel bado haijayazungumzia yamefanyika baada ya watu 310,000 wengi wakiwa raia kutoka Syria kuyakimbia mapigano kati ya Israel na Hezbollah yanayoendelea nchini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), kimefanya mafunzo kwa watumishi wa chama na jumuiya zake kuhusu
📌 *Bil. 17.9 kutumika kupeleka umeme Vitongoji Morogoro* 📌 *Vitongoji 166, Kaya 5,478 kunufaika* Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeongeza muda wa udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika programu ambazo bado
Viongozi wa dini kutoka Mkoa wa Iringa wamejizatiti kushirikiana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika kutoa elimu kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji na