NA. MWANDISHI WETU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema hali ya lishe nchini imeendelea
Month: October 2024
MISHI, binti mrembo wa Kitanga, ambaye ukimwona unaweza kusema ni Mwarabu, ameolewa na dereva wa malori, Musa, lakini tayari amekolea katika penzi la mfanyabiashara, Mustafa.
Ujerumani imetuma ujumbe kwa ubalozi wa Iran nchini humo na kueleza kuwa inalaani mashambulizi ya jana usiku na kuitaka Tehran kutofanya mashambulizi mengine. Aidha, serikali
Masasi. Diwani wa Chiwale (CCM), wilayani Masasi, Yusuph Mataula amejikuta mikononi mwa vyombo vya dola akitakiwa kusaidia uchunguzi katika sakata la ubadhirifu wa Sh139 milioni.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo Oktoba 2, 2024 ametembelea Shamba la Miti Mbizi, ambalo liko chini ya Wakala
Kutekwa kwa mji wa uchimbaji madini ya makaa ya mawe wa Vulgedar, karibu kilomita 50 kusini-magharibi mwa jiji la Donetsk, kunazusha maswali kuhusu uimara wa
Dar es Salaam. Wadau wa haki jinai kutoka taasisi mbalimbali nchini Tanzania wamenolewa kwa kupewa mafunzo ya namna ya kukabiliana na tatizo la uhalifu wa
AJENDA ya kuleta Mapinduzi kwenye sekta ya Viwanda nchini, inazidi kushika kasi ambapo mkoa wa Pwani umejipambanua kuwa kinara kutekeleza ajenda hii kwa kuwa na
WINGA wa Simba, Joshua Mutale hana noma na mtu, kila mchezaji ndani ya kikosi hicho ni mshikaji wake, hapendi kununa, badala yake kila anapokuwepo lazima
“Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki itendeke waliofanya hivi wachunguzwe, ni kweli kifo kipo lakini sio cha namna hii…” Hii ni kauli ya Saada