Arusha. Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumwingilia kinyume cha maumbile ndugu yao mwenye miaka 27 anayedaiwa kuwa na matatizo ya
Month: October 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wawekezaji kutoka Kampuni ya Ansari Group Limited ya Umoja wa
Mfahamu Hassan Nasrallah aliyekuwa kiongozi wa kundi la Hezbollah la nchini Lebanon ambaye jina lake limegonga vichwa vya habari tangu juma lililoisha baada ya kifo
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa
NUSU fainali ya kwanza ya Ngao ya Jamii kwa wanawake imetamatika mchana huu JKT Queens ikitangulia fainali baada ya kuichakaza Ceasiaa Queens kwa mabao 7-0
Aliyekuwa Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Songea Mjini Mwaka 2015 na Mwenyekiti Mwanzilishi wa Kanda ya Kusini Ndugu, Joseph
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Dotto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili kupata
Mwanajeshi wa zamani anayepigania haki za watu wake kwenye kisiwa cha Mindanao nchini Ufilipino amekuwa akizungumzia jinsi ambavyo amebadilisha uchovu wake wa kupigana na kutumia
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa
Kituo cha Afya Sumbawanga Asilia kilichopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa kinatarajiwa kuhudumia wananchi zaidi ya elfu hamsini na Kata za Jirani Momoka na Mafulala.