KOCHA wa zamani wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultani (40) maarufu kama Shilton na wenzake, wanaendelea kusota rumande kwa siku 681 hadi sasa
Month: October 2024
Dar es Salaam. Wabunge 58 wa Bunge la Kitaifa la Kenya hawakutia saini hoja ya kumtimua Naibu Rais, Rigathi Gachagua iliyowasilishwa rasmi katika Bunge hilo,
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema kuna ongezeko la virusi wanaosababisha homa kali ya mafua inayoambukiza maarufu influenza, waliyotaja kusababishwa na mabadiliko ya hali
Nairobi. Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula ametangaza ushiriki wa umma katika hoja ya kumng’oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Ijumaa, Oktoba
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekusanya Sh. 3.1 trilioni mwezi Septemba, ikivunja rekodi yake ya makusanyo kwa mara ya kwanza kufikia kiasi hicho cha
Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani.
Arusha. Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na
KWA sasa katika Ligi Kuu Bara, moja ya majina yanayoimbwa sana ni Debora Fernandes Mavambo, huku jina hilo likiacha maswali kwa mashabiki wa soka. Hata
Usiku wa kuamkia Jumatano, Iran ilivurumisha makombora ya masafa marefu yapatayo 180 kuelekea Israel ikisema ilikuwa ikiyalenga maeneo na miundombinu ya kijeshi. Hata hivyo, Israel
Katika hali iliyotarajiwa, Iran imeishambulia kwa mabomu Israel usiku wa kuamkia leo Jumatano, Oktoba 2, 2024. Mashambulio hayo yamefanyika kutokana na vita vinavyoendelea kati ya