Meneja Makuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC),Mathew Mwangomba, akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 2,2024 jijini Dodoma kuelekea kwenye Kongamano la 10
Month: October 2024
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeongezeka kutoka Tirioni 4.8 mwaka 2021 hadi kufikia tirioni 8.5 mwaka 2024 ongezeko hilo likichangiwa kutokana na wingi wa
Unguja. Wakati maboresho ya daftari la mpigakura yakitarajia kuanza Oktoba 7 hadi 13, 2024, wapiga kura wapya 14,878 wanatarajiwa kuandikishwa kisiwani humo ambao watakuwa na
Dar es saalam. Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba Sport Club, Muharami Sultani (40) na wenzake, wanaendelea kusota rumande kwa siku 681 hadi
Majadiliano hayo yanakuja wakati mashambulizi yakiongezeka kati ya Israel na Hezbollah, kundi lenye silaha ambalo linashikilia na washirika wake viti 62 kati ya 128 vilivyochaguliwa
Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai atalazimika kupigiwa kura ya nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Na Mwandishi Wetu MCHEZAJI gofu ya kulipwa Nuru Mollel ana uhakika wa kutwaa ubingwa wa michuano baada ya kushinda raundi ya nne ya michuao ya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisisitiza jambo wakati akizungumza na Kamati ya Usalama, Wakuu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano